Msimu wa pili wa 'Guardians of the Peak' kuzinduliwa
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Mradi wa filamu unaolenga kutangaza uhifadhi wa mazingira, utalii endelevu na ushirikiano wa kimataifa, ‘...
Fahamu kuhusu Filamu, Waigizaji, wadau na tasnia nzima ndani na nje ya nchi
Habari, makala, uchambuzi, wasanii, tuzo na taarifa mpya kutoka kwenye tasnia ya filamu.
Na Mwandishi wetu Tasnia ya filamu nchini Tanzania imeingia katika hatua mpya baada ya Kampuni ya Tanzania Audiovisual Collection Ltd (TAV...
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Mradi wa filamu unaolenga kutangaza uhifadhi wa mazingira, utalii endelevu na ushirikiano wa kimataifa, ‘...
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam — Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) imewakumbusha wanatasnia wa filamu na michezo ya kuigiza nchini umuhimu w...
Na Mwandishi wetu Shirika la Kutetea Uhai (Prolife Tanzania) limewatoa rai kwa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kuukataa Muswada...
Na Charles Mkoka Katika anga la burudani na filamu nchini Tanzania, jina moja limeanza kutikisa mitandaoni kwa kasi kwelikweli hasa kwa wate...
Na Mwandishi wetu Msanii wa maigizo anayetikisa mitandaoni, Kicheche Mr Makoti, ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania baada ya kuteuli...
Na Mwandishi wetu Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Rajabu Amiri, amewaasa vijana kote nchini kutumia mitandao ya kijamii kwa manu...
Na Mwandishi wetu Msanii na muigizaji wa filamu nchini John Elisha, anayefahamika zaidi kwa jina la Boneka, (officialboneka) amepokea pongez...
Na Mwandishi wetu Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Ndg. Rajabu Amiry, amewataka wasanii wa filamu nchini kushiriki kwenye mas...
Na Mwandishi wetu Msanii wa maigizo anayefahamika kwa jina la Checkbudi ameweka wazi upande wa pili wa maisha yake, akisema kwa sasa anapiti...
Na Mwandishi Wetu Tamthilia pendwa ya Big Boss imeendelea kufanya vizuri na kuvutia watazamaji wengi ndani na nje ya Tanzania, kwa kuonwa n...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Msanii wa muziki na filamu nchini, Agness Suleiman Kahamba, maarufu kama Aggybaby, ameshinda Tuzo ya Mwigiz...
Na Mwandishi Wetu Mwanatasnia wa filamu na michezo ya kuigiza nchini, Bi. Stella Mbuge (@officialstellambuge), ameibuka kidedea baada ya ku...
Na Mwandishi wetu Mwigizaji nyota nchini Tanzania, Stella Mbuge (@officialstellambuge) ambaye amechaguliwa kuwania Tuzo za Music Video Afric...
Na Mwandishi wetu Tamthilia maarufu ya Jumba la Dhahabu inatarajiwa kurejea kwa msimu mwingine, baada ya uthibitisho kutoka kwa muandaaji n...
Na Mwandishi Wetu Maandalizi ya Tamasha la Tuzo za Filamu mkoani Iringa yanaendelea kwa kasi, huku wasanii wakongwe wa filamu wakijitokeza k...
Msanii wa Maigizo ya filamu, Hassan Badru 'Mwakinyo' (katikati) akiwa na wasanii wenzie nguli na maarufu nchini, Single Mtambalike p...
Na Mwandishi wetu, Iringa Chama cha Waigizaji Filamu Nchini Tanzania (TDFAA), Mkoa wa Iringa kimezindua rasmi tuzo za filamu za mkoani humo ...
Na Mwandishi Wetu Iringa – Chama cha Waigizaji Filamu Nchini Tanzania, Mkoa wa Iringa (TDFAA) kimezindua rasmi msimu wa tatu wa Iringa Fil...
Na Mwandishi wetu Chama cha Waandaaji wa Filamu Nchini (TAFIDA) kimefungua rasmi usaili maalum kwa watengeneza filamu wote nchini, lengo lik...
Na Mwandishi wetu Seoul. Rais wa Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF), Rajabu Amiry, ametembelea kituo cha kurusha matangazo ya televisheni, ...