Isarito: “Hadithi za Kitanzania sasa zinaanza kuonekana duniani”
Na Mwandishi wetu Muigizaji na mtayarishaji wa filamu Isarito ameendelea kusherehekea mafanikio ya My Son baada ya filamu hiyo kuendelea kup...
Fahamu kuhusu Filamu, Waigizaji, wadau na tasnia nzima ndani na nje ya nchi
Habari, makala, uchambuzi, wasanii, tuzo na taarifa mpya kutoka kwenye tasnia ya filamu.
Na Mwandishi wetu Tasnia ya filamu nchini Tanzania imeingia katika hatua mpya baada ya Kampuni ya Tanzania Audiovisual Collection Ltd (TAV...
Na Mwandishi wetu Muigizaji na mtayarishaji wa filamu Isarito ameendelea kusherehekea mafanikio ya My Son baada ya filamu hiyo kuendelea kup...
Na Mwandishi wetu Kuna kipindi si cha mbali sana ambapo mafanikio ya filamu Tanzania yalikuwa yanapimwa kwa vitu viwili tu — DVD zimesambaa ...
Na Mwandishi wetu, mitandaoni Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) imelaani kauli iliyodaiwa kutolewa na Madam Rita dhid...
Na Mwandishi wetu Tamasha la Regal Film Festival and Awards (REFFA) limefungua rasmi wito kwa watengenezaji wa filamu kutoka barani Afrika k...
Na Mwandishi wetu Africa International Christian Film Festival (AICFF) imetangazwa rasmi tuzo za filamu za dini na, au imani ya kikristo, na...
Na Mwandishi Wetu Abduli Yusuph, maarufu kama Naipa, amekuwa gumzo kubwa mitandaoni baada ya tamthilia yake mpya ya Msitu kufikisha watazam...
Na Charles Mkoka Kuna siku simu ilikuwa tu chombo cha kupiga picha za misosi, selfies na locations za mchongo. Leo hii, simu ni ofisi, stud...
Na Charles Mkoka Ukimuona kwa mara ya kwanza, unaweza kudhani ni mwalimu wa hesabu anayesubiri wanafunzi waje kuchelewa ili awaandikie adhab...
Na Charles Mkoka Najua umeshawahi kuwaona Art Gallery TZ , kikundi cha ubunifu ambacho kimekuwa kikitrend mdogomdogo kwa kutengeneza vipande...
Na Mwandishi wetu Watengenezaji wa filamu kutoka Tanzania na mataifa mbalimbali duniani wamepata fursa mpya ya kupeleka kazi zao katika jukw...
Na Mwandishi wetu Watayarishaji na waongozaji wa filamu fupi nchini Tanzania wametakiwa kuwasilisha kazi zao ili kushiriki katika NGALABI SH...
Na Mwandishi Wetu Tamthilia mpya ya mtandaoni FEKI, inayozalishwa na 2Ghaa Films, imeingia kambini kwa muda wa mwezi mmoja kwa ajili ya kuka...