hili ni UDA. Basi maarufu sana la kusafirisha abiria katika enzi za Uhuru. Inadaiwa kuwa lina historia kubwa sana katika usafiri wa Jiji la Dar es salaam, na hata nchi nzima kwa ujumla.
Najua wengi walikuwa hawajazaliwa, ila kwa wenye historia yoyote na Basi hili, au Usafiri huu kw ujumla, una yapi ya kushiriki nasi?
Najua wengi walikuwa hawajazaliwa, ila kwa wenye historia yoyote na Basi hili, au Usafiri huu kw ujumla, una yapi ya kushiriki nasi?
![]() |
| Hii ni mashine ya kukatia tiketi za mabasi hayo, ambazo huwa na kumbukumbu kamili ya tarehe pamoja na kiasi tozo cha nauli |