Sauti za Filamu ni jukwaa la habari na uchambuzi wa filamu linalolenga kuhabarisha, kuhamasisha kuburudisha na kuunganisha wadau wa tasnia ya filamu nchini Tanzania na duniani kote.
Tunakuletea taarifa za kina kuhusu:
🎬 Filamu mpya za kiswahili za ndani na nje ya nchi
🎠Waigizaji, waongozaji na watayarishaji wakubwa na wanaochipukia
🎥 Behind the scenes, Locations, Sets na safari za utengenezaji wa filamu
📰 Habari, matukio, Makala Maalum, tuzo na mwenendo wa tasnia ya filamu
Kupitia Sauti za Filamu, tunalenga kutoa sauti kwa wasanii, kuibua vipaji, na kuhimiza taaluma, ubunifu na maadili katika sanaa ya filamu.
Sauti za Filamu inazingatia viwango vya uandishi wa kimataifa kwa mtazamo wa kitaaluma, burudani, na uchambuzi wa kina unaozingatia ukweli na ubora wa kazi za sanaa.
Tunataka kuwa daraja kati ya watazamaji na wahusika wa filamu — tukisimulia hadithi, mafanikio, changamoto na ndoto zinazounda tasnia ya filamu leo na kesho