Mapokezi ya washiriki na washindi wa tuzo za AMVCAA Jumapili Julius Nyerere International Airport


Wadau wa filamu wanamtambua kama mama Fisoo, akiwa na monalisaz kwenye selfie flan amazing hivii
Yvonne Cherryl (Monalisa) akihojiwa na timesfmtz ambapo aliweza kuelezea machache. Yvonne alishiriki kutazama sherehe hizo huku akiwasindikiza washiriki wenzie wa tanzania na kumpa support Director wake, Honeymoon Aljabri aliyeshindana kwenye tuzo hizo (Daddy's Wedding)
Hapa ni Rais wa Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) Mh. Simon Mwakifwamba akimtambulisha mshiriki wa tuzo hizo Amil Shivji (muandaaji wa filamu ya Samaki Mchangani) aliyewasili na washiriki wengineo kutoka AMVCA. nafasi yake alishinda Single Mtambalike na filamu ya Kitendawili
washiriki woote walipata wasaa wa kusema machache na kufurahi na mashabiki wao, ambapo TAFF kama shirikisho liliwaandalia keki na Shampeni kufurahia mafanikio hayo

Chapisha Maoni

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Mpya zaidi Nzee zaidi