Mfahamu Yvonne Cherrie (Monalisa) ambaye ameanza kuigiza tangu
mwishoni mwa miaka ya tisini. ameweza kudumu katika tasnia ya uigizaji
kutokana na Ubora wa hali ya juu.
licha ya kuonekana
katika filamu chache kulingana na waigizaji wengine, ameweza
kujinyakulia tuzo kadhaa kulingana na kazi alizozifanya.
Tazama video hii ikikuonesha baadhi tu ya tuzo alizoweza kushinda