HABARI MUDA HUU WAIGIZAJI WOTE
Tunakumbushana mnamo tarehe 7 April 2012 ndugu yetu na msanii mwenzetu STEVEN CHARLES KANUMBA aliaga dunia.
Kila ifikapo tarehe kama hiyo kwa kila mwaka huwa anafanyiwa maombi maalum na familia yake kwa ajili ya kumbu kumbu na mwaka huu ametimiza miaka 4 tangu alipofariki
Kwahyo 7/4/2016 siku ya Alhamis saa 9 kamili alasiri familia ya marehemu Steven Kanumba watafanya dua ya kumuombea.
Kwahyo 7/4/2016 siku ya Alhamis saa 9 kamili alasiri familia ya marehemu Steven Kanumba watafanya dua ya kumuombea.
kwa Mara ya kwanza chama cha waigizaji kinondoni tutajumuika pamoja na familia ya marehemu katika kumbukumbu hiyo.
Tunawaomba wasanii wote wa kinondoni na maeneo ya jirani tujitokeze kwa wingi siku hiyo,
Duwa itafanyika katika makaburi ya kinondoni muda wa saa 9 ukipata ujumbe huu mjulishe na mwingine.
Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi ndugu yetu STEVEN CHARLES KANUMBA. amen.
M.kaftany
Afisa habari na Mawasiliano Tdfaa(M)Kinondoni
Afisa habari na Mawasiliano Tdfaa(M)Kinondoni