Na Charles Mkoka
Baada ya kufanya vizuri kwenye Tamasha na Tuzo za Filamu Tanzania (TAFFA) kwa kutwaa tuzo ya Filamu Bora ya Mwaka 2025/26 pamoja na tuzo nyingine tano, My Son sasa inakuja na experience mpya kwa mashabiki na wadau wa filamu kupitia tour maalum ijulikanayo kama “My Son: Behind The Screen Tour”.