TAVIC yapata leseni ya kwanza ya kukusanya mirabaha ya kazi za filamu Tanzania
Na Mwandishi wetu Tasnia ya filamu nchini Tanzania imeingia katika hatua mpya baada ya Kampuni ya Tanzania Audiovisual Collection Ltd (TAV...
Fahamu kuhusu Filamu, Waigizaji, wadau na tasnia nzima ndani na nje ya nchi
Habari, makala, uchambuzi, wasanii, tuzo na taarifa mpya kutoka kwenye tasnia ya filamu.
Na Mwandishi wetu Tasnia ya filamu nchini Tanzania imeingia katika hatua mpya baada ya Kampuni ya Tanzania Audiovisual Collection Ltd (TAV...
Na Mwandishi wetu Tasnia ya filamu nchini Tanzania imeingia katika hatua mpya baada ya Kampuni ya Tanzania Audiovisual Collection Ltd (TAV...
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Wasanii wa filamu na sanaa nchini wameahidi kutumia umaarufu wao kuhamasisha matumizi ya nishati safi ...
Na Mwandishi wetu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini , Dkt. Gervas Kasiga , amesema sekta ya filamu nchini ina nafasi kubwa ya kucha...
Na Mwandishi wetu Mtayarishaji wa filamu na muundaji wa tamthilia ya Panguso, Jimmy Mafufu, amezindua rasmi ofisi mpya za kampuni yake pa...
Na Charles Mkoka KIGAMBONI – Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kigamboni, Lilian Wasira, kupitia kampuni yake ya burudani ya Wasira Entertainm...
Na Mwandishi wetu Bagamoyo . Wanafunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA) wanatarajiwa kushiriki mjadala maalum wa Music ...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania imemuaga mmoja wa magwiji wa sanaa ya maigizo, Issa Joseph Mohamed maarufu kama Mzee Onyango, ali...
Na Charles Mkoka Kwa miaka mingi, filamu zimekuwa zikitazamwa kama sehemu ya burudani. Lakini kadri changamoto za kijamii zinavyozidi kuon...
Na Charles Mkoka Dar es Salaam – Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imezindua rasmi filamu ya Kifurushi ,...
Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Mradi wa filamu unaolenga kutangaza uhifadhi wa mazingira, utalii endelevu na ushirikiano wa kimataifa, ‘...
Na Charles Mkoka Kikundi kipya cha wasanii wa filamu nchini kinachoitwa Mkono wa Faraja kimeanzishwa kwa lengo la kuimarisha mshikamano na...
By Charles Mkoka Documentary (Makala) inayozungumziwa sana kwenye eneo la utalii na mazingira, Guardians of the Peak , leo inatarajiwa kuone...
Na Charles Mkoka Baada ya kufanya vizuri kwenye Tamasha na Tuzo za Filamu Tanzania (TAFFA) kwa kutwaa tuzo ya Filamu Bora ya Mwaka 2025/26...
Na Charles Mkoka Kwa miaka kadhaa sasa, Kigamboni Awards imekuwa ikitajwa kama moja ya majukwaa yanayochipua kwa kasi kwenye tasnia ya fila...
Na Mwandishi wetu Kuna kipindi si cha mbali sana ambapo mafanikio ya filamu Tanzania yalikuwa yanapimwa kwa vitu viwili tu — DVD zimesambaa ...
Na Mwandishi wetu Tasnia ya filamu mkoani Mbeya ipo kwenye majonzi kufuatia taarifa za kifo cha msanii wa filamu Yohana Mwakapalila maarufu ...
Na Mwandishi wetu Tanzania ipo kwenye maombolezo kufuatia kifo cha muigizaji mkongwe wa filamu Hashim Kambi, aliyefariki dunia Jumatatu ji...
Na Mwandishi wetu Baada ya ukimya wa muda mrefu uliowaacha wengi wakijiuliza kama bado yupo kwenye mchezo, Haji Adam hatimaye amefungua pazi...
Na Charles Mkoka Tukio la kushtua limeibuka eneo la Chanika Zingiziwa, jijini Dar es Salaam, baada ya mwili wa Dairekta anayejulikana kwa j...
Na Mwandishi wetu Bodi ya Filamu Tanzania imekutana na viongozi wa Shirikisho la Filamu Tanzania katika kikao maalum kilicholenga kuimarisha...